Wachuuzi wa miwa katika Manispaa ya Morogoro wakikokota baiskeli zilizoshehe miwa wakati wakitoka kijiji cha Misonge kwa ajili ya kuwauzia wateja wao ambapo miwa hiyo huuzwa kati ya sh 500 hadi sh 800 kwa mmoja mjini hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment