MENEJA WA BENKI YA KCB MOROGORO CARLOS MSIGWA AKILA CHAKULA NA MGENI WAKE KULIA WAKATI WA HAFLA YA KUAGA MWAKA 2011 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2012 KATIKA HOTELI YA KITALII YA ARC ILIYOPO AREA SIX NDANI YA MANISPAA YA MOROGORO.


HAPA MHUDUMU WA HOTELI HIYO AKIMTENGEA CHAKULA MANEJA HUO KATIKA HAFLA HIYO.
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment