
MENEJA WA BENKI YA KCB MKOA WA MOROGORO CARLOS MSIGWA (MWENYE SHARTI NYEKUNDU ALIYEKAA KATIKA KITI) AKIWA KWENYE PICHA YA MOJA NA WAFANYAKAZI WA BENKI HIYO WAKIWEMO NA WAGENI WAALIKWA MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA HAFLA YA KUAGA MWAKA 2011 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2011 KATIKA HOTELI YA ARC ILIYOPO AREA SIX KATIKA MANISPAA YA MOROGORO.

0 comments:
Post a Comment