Hapa JK akizungumza na wananchi waliohudhuria sherehe hizo mkoani hapa.
JK AZINDUA JENGO LA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI TAWI LA MOROGORO.
Rais Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi jengo la jengo la ofisi ya mkaguzi wa hesabu za serikali tawi la Morogoro jirani na Bwalo la JWTZ mkoani hapa, kulia ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendela na kushoto ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovic Utoh ambapo jengo hilo lina thamani ya zaidi sh160Bilioni.

Hapa JK akizungumza na wananchi waliohudhuria sherehe hizo mkoani hapa.
Hapa JK akizungumza na wananchi waliohudhuria sherehe hizo mkoani hapa.

0 comments:
Post a Comment