Mshambuliaji wa timu ya soka ya Taswa FC Morogoro, Samuel Msuya (Van Persie) akitafuta mbinu ya kuwatoka wachezaji wa timu ya CRDB Benki Sport Club wakati wa bonanza la michezo lililoandaliwa na chama cha waandishi wa habari mkoa wa Morogoro katika uwanja wa Jamhuri mkoani hapa ambapo katika mchezo huo Taswa walifungwa bao 2-0.

Kiungo mshambuliaji wa timu ya soka ya Taswa FC Morogoro, Ramadhan Libenanga (Ndiefi) kushoto akiwania mpira dhidi ya beki wa CRDB Sport Club, Ally Mtandya kulia

Dastan Shikidele kulia akimtoka mchezaji wa CRDB Benki, Aron Methew

Mambo yakuwa hivi katika soka kasoro viatu tu ila mambo ya tiktaka yalikuwepo tena ya kumwagaa.
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment