WAETHIOPIA 97 NA WATANZANIA WAWILI WATIWA NGUVUNI NA ASKARI WA IDARA YA UHAMIAJI MOROGORO.
WADEREVA WA FUSO WAKAZI WA MOSHI MKOA WA KILIMANJARO, EMILI KIMARIO (33) KULIA NA JOHN KISIMA (28) KUSHOTO WAKIWA NDANI YA CHUMBA CHA WAZI CHA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO KUFUATIA KUKUMBWA NA TUHUMA ZA KUWASAFIRISHA RAIA 97 WA ETHIOPIA BAADA YA KUKITIWA NGUVU ENEO LA MELELA JANUARI 19, 2012 WAKIWA NA RAIA HAO AMBAPO WOTE WALISOMEWA MASHITAKA YA KUTENDA KOSA LA KUBEBA HUKU WAO KUINGIA NCHINI KINYUME NA SHERIA ZA NCHI.
ASKARI WA IDARA YA UHAMIJIA MOROGORO WAKIWALINDA WAEHIOPIA 97 NA WATANZANIA WAWILI MARA BAADA YA KUWAFIKISHA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MKOA WA MOROGORO HAPA WAKIWA NDANI YA CHUMBA CHA WAZI CHA MAHAKAMA HIYO KWA AJILI YA KUSIKILIZA KUSOMEWA MASHIKATA YA KUINGIA NCHINI KINYUME NA SHERIA BAADA YA KUKAMATWA ENEO LA MELELA JANUARI 19 WAKATI WAKITOKA WILAYA YA KILOSA KUELEKEA MKOA WA MBEYA ILI KUVUKA NA KUELEKEA NCHI JIRANI AMBAPO SHITAKA HILO LIMEGHALISHA HADI FEBRUARI 8, 2012 LIKAPOSOMWA TENA NA HIYO IMETOKANA NA KUKOSEKANA KWA MKALIMANI WA LUGHA YA KIETHIOPIA.
LIKAFANYIKA ZOEZI LA KUITA MAJINA KABLA YA KWENDA KATIKA CHUMBA CHA KUSIKIZA MASHIKATA HUYU JAMAA AKIWASAIDIA NAMNA YA KUTAMKA MAJINA YA WAETHIPIA HAO.
HUDUMA YA KIBINADAMU: WAKINYWA CHAI KABLA YA KUPANDA KIZIMBA.
WAKAFIKIA HAPA ENEO HILO LA BUSTANI YA MAHAKAMA HIYO ILI KUSUBIRI KWENDA KATIKA CHUMBA CHA WAZI CHA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO ILI KUSIKIZA MASHITAKA YAO YANAYOWAKABILI.
WAKITELEMKA KATIKA LORI KUTOKA KITUO KIKUU CHA POLISI CHA KATI KILICHOPO KITOPE ROAD BAADA YA KUFIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO.A
0 comments:
Post a Comment