WAETHIOPIA 97 WAKAMATWA MELELA WAKATI WAKIELEKEA MBEYA MKOA WA MOROGORO.
MKUU WA KITENGO CHA UPELELEZI NA MASHITAKA IDARA YA UHAMIAJI MKOA WA MORO, YUSUPH JONGO AKIZNGUMZA JAMBO NA RAIA WA ETHIOPIA 97 AMBAO WAMEKAMATWA NA WATANZANIA WAWILI KATIKA KIJIJI CHA MELELA BARABARA KUU IRINGA-MOROGORO WAKATI WAKITOKEA WILAYANI KILOSA WAKIELEKEA MKOANI MBEYA ILI KUWEZA KUVUKA MPAKA WA NCHI WAKIWA CHINI YA ULINZI KITUO KIKUU CHA POLISI MKOANI HAPA.
0 comments:
Post a Comment