BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AFISA HABARI WA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA.


Afisa Habari wa Mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) Rose Mdami akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali namna ya kuandika habari kabla ya kuanza kwa zoezi ambao litasaidia wananchi kuingia katika mfumo wa taifa wa usajili na utambuzi wa watu ambao utasaidia kupata taarifa sahihi za wananchi, wageni na wakimbizi iliyoandaliwa na mamlaka ya vitambulisho vya taifa katika hoteli ya Nashera mkoa hapa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: