MNADA WA MELELA NJIAPANDA YA KILOSA MOROGORO
HEKA HEKA ZA WAFUGAJI WA JAMII YA KIMASI KATIKA MNADA WA MELELA NJIAPANDA YA KILOSA BARABARA KUU IRINGA-MOROGORO AMBAPO KUMEKUWA NA BIASHARA MBALIMBALI IKIWEMO NGUO, UCHOMAJI WA NYAMA YA NG'OMBE, MBUZI NA KONDOO AMBAPO KWA WALE WAPENZI YA NYAMA CHOMA HUUZWA KATI YA SH 4500 HADHI SH 15,000 KWA NYAMA ILIYOCHOMA AMBAO UNAFANYIKA KILA IJUMAA.
0 comments:
Post a Comment