NJOONI MTUSAIDIE KUNA KIBAKA HAPA STENDI KUU YA DALADALA AFANDE.
Askari wa kikosi cha usalama barabaranikatika Manispaa ya Morogoro wakiwa wanampeleka kijana anayetuhumiwa kutaka kuiba stendi kuu ya daladala yaendayo nje ya Manispaa hiyo baada ya kumuokoa kutoka kwa wananchi wenye hasira muda mfupi kabla ya kumpeleka kituo kikuu cha polisi kati mkoani hapa.
Askari wakiwasiliana na wenzao baada ya kumuokoa kijana huyo kutoka kwa wananchi waliokuwa wakimpiga kwa tuhuma za kutaka kuiba katika eneo la stendi kuu hiyo kabla ya kustukiwa.
0 comments:
Post a Comment