BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NYARA ZA SERIKALI ZIMEKAMATWA CHINI YA ULINZI.



Vijana Erick Kiari kushoto Abel Adrian katikati na Anaheri Mkindi wakiwa chini ya ulinzi katika kituo cha polisi mkoa wa Morogoro baada ya kutuhumiwa kukutwa na meno ya tembo vipande 51 wakati wakisafiri kutoka mkoa wa Mbeya kwenda jijini Dar es Salaam kufuatia kukamatwa eneo la Msamvu mkoani hapa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: