Agnes Jimu akiwa ameketi nje ya hema lake lililojengwa baada ya nyumba yake aliyokuwa akiishi awali yeye na familia yake kuvunjwa na tingatinga la dalali wa mahakama ya ardhi na hivyo kumfanya kuishi maisha ya mateso. Zaidi ya nyumba 50 za kitongoji cha Mateteni, kijiji cha Mbigiri, tarafa ya Magore wilaya ya Kilosa zilivunjwa na kusababisha watu zaidi ya 160 kukosa makazi.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Agnes Jimu akiwa ameketi nje ya hema lake lililojengwa baada ya nyumba yake aliyokuwa akiishi awali yeye na familia yake kuvunjwa na tingatinga la dalali wa mahakama ya ardhi na hivyo kumfanya kuishi maisha ya mateso. Zaidi ya nyumba 50 za kitongoji cha Mateteni, kijiji cha Mbigiri, tarafa ya Magore wilaya ya Kilosa zilivunjwa na kusababisha watu zaidi ya 160 kukosa makazi.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment