Diwani wa kata ya Magole wilayani Kilosa, Juma Rajab Chewe akitoa maelezo kwa waandishi wa habari na wanaharakati wa haki za binadamu juu ya kuvunjwa kwa zaidi ya nyumba 50 za wakazi wa kitongoji cha Mateteni kijiji cha Mbigiri hali iliyosababisha watu zaidi ya 160 kukosa makazi.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment