BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MKUU WA MKOA WA MOROGORO MHE, JOEL BENDERA AAWAPISHA WAKUU WA WILAYA TANO IKULU NDOGO YA MOROGORO.

 WAKUU WA WILAYA WAPYA MKOA WA MOROGORO KUTOKA KUSHOTO NI SAIDI AMANZI (MOROGORO) ANTHONY MTAKA (MVOMERO) ELIAS TARIMO (KILOSA) HASSAN MASALA (KILOMBERO)FRANSIC MITI (ULANGA) NA KHANIFA KALAMAGI WILAYA MPYA YA GAIRO MARA BAADA YA KUAPISHWA NA MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERA KATIKA HAFLA FUPI ILIYOFANYIKA KWENYE VIWANJA VYA IKULU NDOGO MOROGORO.
MKUU WA MKOA WA MOROGORO MHE JOEL BENDERA AKIMWAPISHA MHE HASSAN MASALA KUWA MKUU MPYA WA WILAYA YA KILOMBERO KATIKA HAFLA FUPI ILIYOFANYIKA KWENYE VIWANJA VYA IKULU NDOGO MOROGORO.
MKUU MPYA WA WILAYA MPYA YA GAIRO,  KHANIFA KALAMAGI AKIAPA MBELE YA MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERA KATIKA HAFLA HIYO.
                                  
MKUU WA WILAYA YA MVOMERO MHE ANTHONY MTAKA AKIAPA MBELA YA MKUU WA MKOA WA MOROGORO MHE JOEL BENDERA

 
 MHE ANTHONY MTAKA AKIKABIDHIWA ZAWADI YA MAUA NA NDUGU WA KARIBU KATIKA HAFLA HIYO.
 
MKUU WA WILAYA YA MOROGORO SAIDI AMANZI AKIAPA MBELE YA MHE MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERA.

    
HAPA MKUU WA MKOA WA ZAMANI WA MOROGORO STEVEN MASHISHANGA AKIMPONEZA MKUU HUYU MPYA WA WILAYA YA MOROGORO KATIKA HAFLA HIYO.
 
MKUU WA MKOA WA MOROGORO MHE JOEL BENDERA AKIMWAPISHA MKUU WILAYA YA ULANGA FRANSIC MITI KATIKA HAFLA HIYO AMBAPO MITI ALIKUWA AKIKAIMU WILAYA YA KILOMBERO BAADA YA MKUU WA WILAYA HIYO MHANDISI NDIKILO KUTEULIWA KUWA MKUU WA MKOA WA MWANZA.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: