BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MHE ABOOD ATOA MSAADA KITUO CHA AFYA MAFIGA MOROGORO.

 Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood kushoto akimkabidhi Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya Mafiga, Dk Goshani Chirwa msaada wa vifaa mbalimbali vikiwemo vitanda viwili vya kujifungulia akinamama wajawazito wa kituo hicho cha Mafiga vyenye thamani ya sh 15.2Mil wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika kituo hicho mjini hapa.
 Hapa Mhe Abood kulia akimwangalia muuguzi wa kituo hicho akiwa amekiti moja ya vitanda ambavyo watatumia wagonjwa wa kituo hicho.               
                                     
Mganga wa Manispaa Dkt Abraham Mahizo kulia akitoa shukurani kwa Mbunge wa jimbo hilo la Morogoro mjini Abdullaziz Abood kushoto mara baada ya kukabidhi msaada wenye thamani ya sh15.2Mil kwa kituo hicho na katikati ni Mganga mfawidhi wa kituo chicho, Dk Goshani Chirwa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: