BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

CHAMA CHA WANASHERIA WATETEZI WA MAZINGIRA (LEAT) YAENDESHA WARSHA YA KITAIFA KWA WADAU WA KILIMO HOTELI YA B-Z MKOANI MOROGORO.

Mratibu wa mradi wa maendeleo ya kilimo Tanzania katika chama cha wanasheria watetezi wa mazingira (LEAT)  Heri Ayubu kushoto akifafanua jambo wakati wa warsha ya kitaifa ya wadau wa kilimo (MAWASILIANO KWA UMMA) iliyofanyika katika hoteli ya B-Z mkoani Morogoro, kulia ni Marcelina Kibena kutoka mtandao wa vikundi vya wakulima Tanzania Chamwino mkoani hapa.
MWANDISHI wa habari gazeti la Majira mkoa wa Morogoro, Lilian Chuwa kushoto akiwa na  washiriki wa warsha ya kitaifa ya wadau wa kilimo (MAWASILIANO KWA UMMA) wakifuatilia matukio katika warsha hiyo iliyofanyika Hoteli ya B-Z mkoani hapa.
SEHEMU ya washiriki wa warsha ya kitaifa ya wadau wa kilimo (MAWASILIANO KWA UMMA) wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea wakati wa warsha hiyo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: