BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAANDALIZI YA SIKU YA KUWAKUMBUKA MASHUJAA WA VITA YA KAGERA 1978/1979 MKOA WA MOROGORO JULAI 25 MWAKA HUU.

 ASKARI wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) wa mkoani Morogoro wakifanya mazoezi ikiwa ni maandalizi ya maadhimisho ya siku ya mashujaa waliofariki dunia katika vita ya Kagera mwaka 1978 na 1979 ambapo maadhimisho hayo yatafanyika kimkoa katika mnara wa kumbukumbu wa Posta mjini hapa.
ASKARI wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) kikosi cha maombolezi wakifanya mazoezi ya namna ya kutoa heshima za mwisho katika maadhimisho hayo katika mnara wa kumbukumbu wa Posta mjini hapa.
 Hapa askari wa kikosi hicho wakiwa katika bunduki mitutu ikiwa imelekezwa juu katika hatua ya mazoezi ya kutoa heshima.
GWARIDE la askari wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ)
 Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera kushoto akimsikiliza Mkuu wa shule ya Mafunzo ya huduma (JWTZ) Pangawe Kanali Harrison Maseba wakati viongozi hao wakiangalia mazoezi ya vikosi vya ulinzi vya JWTZ, polisi na Magereza   katika maandalizi ya kumbukumbu ya siku ya kuwakumbuka mashujaa kulia ni mkuu wa wilaya ya Morogoro Saidi Amanzi.
GWARIDE la askari wa jeshi la polisi kitengo cha FFU 
GWARIDE la askari wa jeshi la Magerez.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: