BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MFANYABIASHARA WA KUUZA MATANGO NA MIHOGO MANISPAA YA MOROGORO.

MFANYABIASHARA wa kuuza matango na mihogo katika Manispaa ya Morogoro akimuuzia mteja wake muhogo na tango katika mtaa wa Fondogolo ikiwa njia mojawapo ya kijana huyo kujitafutia kipato ili kuweza kupata pesa za mahitaji mbalimbali ndani ya familia yake mkoani hapa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: