Wakazi wa Manispaa ya Morogoro wakiwemo na walimu wa shule za msingi na sekondari wakiwa katika foleni ndefu kwa ajili ya
kwenda katika ofisi inayohusika na sensa wakati zoezi la kuchukua fomu
za maombi ya kufanya kazi ya muda kama karani wa sensa ya watu na makazi
kwa mwaka 2012 katika ofisi za Manispaa hiyo ambazo zaidi ya wakazi
4000 walijitokeza kuomba kazi hiyo ya muda mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / FOLENI YA KWENDA KUCHUKUA FOMU ZA KUWA KARANI WA MUDA WA KUHESABU WATU NA MAKAZI MANISPAA YA MOROGORO.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment