BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MJASILIAMALI WA KILIMO CHA MBOGA MBOGA MANISPAA YA MOROGORO.

Mjasiliamali wa kilimo cha mboga mboga katika Manispaa ya Morogoro akimwagilia mboga aina ya mchicha katika shamba lake lililopo eneo la daraja la reli kata ya Mjipya ambapo baadhi ya vijana wengi nchini wameamua kujiari katika sekta ya kilimo na kujipatia kipato kinachotoakana na kuuza mbogamboga mkoani hapa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: