Wakulima zao la mpunga wakiwa juu ya magunia yenye mpunga huku wakitumia usafiri wa trekta kusafIrisha mizigo na mali nyingine baada ya kuvuna katika mashamba ya Dakawa huku trekta hilo likionekana kuwa sio salama kwa kuwepo barabarani kutokana hali hiyo kama linavyooneka pichani katika magurudumu yake yakiyumba katika barabara kuu ya Dodoma-Morogoro mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 comments:
Post a Comment