Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Profesa Anna Tibaijuka Akimkabidhi Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete anuani ya makazi ya ikulu wakati uzinduzi wa mfumoo wa anuani Mpya za Makazi na nembo ya Simbo((Post code) uliofanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo asubuhi
0 comments:
Post a Comment