Mkurugenzi wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania(TMF)Er nest Sungura akitoa maelezo kuhusu namna ya Kuomba Fedha katika Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania(TMF) katika Mkutano uliofanyika Zanzibar Beach Ressort.Kulia kwake ni Mwandishi wa Gaazeti la Habari leo Khatib Suleiman na kushoto yake ni Afisa mwandamizi wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania(TMF)Alex Kanyambo.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania wakisikiliza taarifa zinazotolewa na Mtoaji mada (hayupo pichani)huko katika Hoteli ya Zanzibar Beach Ressort
0 comments:
Post a Comment