Wasamalia wena wakishirikiana na askari wa kikosi cha zima moto Manispaa ya Morogoro wakishirikiana kuzima moto katika nyumba mtaa wa Mtoni Streen kata ya Mbuyuni baada ya moto huo kutekeza nyumba ya Mzee Salah ambapo chanzo chake hakikuweza kufahamika mara moja mkoani hapa.
Wakazi wa mtaa wa Mtoni Street wakiangalia kikosi cha zimamoto kikimalizia kuzima moto katika nyumba hiyo.
Mtoto wa Mzee Salaha, Aziz Salah (katikati) akidhibitiwa na majirani zake wakati akitaka kuingia ndani ya nyumba wakati moto ukitekeza mali.
Majini wakiwa wamebeba godoro mara baada ya kulikoa katika tukio hilo.
Mabati yaliyookolewa wakati wa tukio hilo.
Mkuu wa kituo cha Polisi cha mjini Kati Manispaa ya Morogoro Idd Ibrahim kushoto akimsikiliza mtoto wa Mzee Salah, Aziz Salah mara baada ya kikosi cha Zimamoto kufanikiwa kuzima moto wakati nyumba ikiungua ili isiweze kuhamia nyumbani nyingine.
Sehemu ya mali zikiwa zimetekea baada ya nyumba hiyo kuungua moto.
0 comments:
Post a Comment