BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

Naibu Waziri Mkuu Wa China Atembelea Sehemu Za Kihistoria Zanzibar

Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu wakatikati mwenye shati jeupe akiangalia historia ya Utumwa katika Kanisa la Anglikana Mkunazini Zanzibar wakati akiendelea na ziara yake ya siku mbili.kushoto yake ni Balozi mdogo wa China Zanzibar Mama Chen.
Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akionyeshwa Bakuli ya Mwinyi Mkuu aliyeitumia kwa kunywa Uji wakati wa Uhai wake na Balozi mdogo wa China Zanzibar Mama Chen.
Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akiangalia Mizinga ya zamani iliokuwa ikitumika Zanzibar wakati wa utawala wa Kisultani
Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akiangalia Historia mbalimbali katika Nyumba ya Wananchi Forodhani ikiwa ni miongoni mwa ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akiagana na Mgeni wake Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Amani Karume mara baada ya klumaliza Ziara yake ya sku mbili
Naibu Waziri Mkuu wa China Hui Liangyu akipunga mkono kuwaaga wenyeji wake baada ya kumaliza Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: