Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda kitoa heshima za mwisho kwa marehemu Mhashamu,
Askofu Pascal William Kikoti katika ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye
kanisa kuu katoliki, jimbo la Mpanda, Septemba 1, 2012.
Mapadri
wakiweka kaburini mwili wa aliyekuwa Askofu wa jimbo la Mpanda Mhashamu
Pascal William Kikoti kaburini katika mazishi yaliyofanyika kwenye
kanisa kuu la jimbo Katoliki la Mpada Mjini Mapanda Septemba 1, 2012.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitupa mchanga kwenye kaburi la Askofu Pascal
William Kikoti katika mazishi yaliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la
Katoliki jimbo la Mpanda mjini Mpanda Septemba 1, 2012.
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU.
0 comments:
Post a Comment