



Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Amezungumzia mambo kadhaa ikiwemo maandalizi ya uchaguzi mkuu wa CCM na kulaani matukio ya vurugu yaliyotokea Mbagala, Dar es Salaam.Picha na Bashir Nkoromo
0 comments:
Post a Comment