Kulia ni Waziri wa Fedha Mhe. William Mgimwa akifuatiwa na Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe.Yusuph Mzee na nyuma yao ni Naibu Katibu Mkuu Bw. Selvanius Lekwilile na Gavana wa Benki kuu Bw. Benno Ndulu.
Viongozi wa Shirika la Fedha la Kimataifa  (IMF) wakiwa kwenye ufunguzi wa mkutano kutoka kulia  ni rais wa Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim akifuatiwa na katibu wake baada ya Katibu ni Bw. H.E. Rial Salamah,  ambaye ni mwenyekiti wa Mkutano huo na Gavana wa Benk kuu ya Lebanon na  wa mwishoni ni Mkurungezi Mtendaji Shirika la fedha la Kimataifa  Bi. Christine Lagarde Jijini Tokyo- Japan.
Mawaziri wa Fedha, Magavana pamoja na Wajumbe   waliohudhuria mkutano wa Benki ya Dunia – IMF wakifuatilia kwa makini hotuba  aliyokuwa anaiwasilisha mwenyekiti wa mkutano wa IMF na WB  katika  ufunguzi wa mkutano huo  Jijini Tokyo – Japan.
Katikati ni Mwana Mfalme akiingia ukumbini wa katai wa sherehe za ufunguzi wa mikutano hii ya mwaka ya IMF na Benki ya Dunia. Akiwa ameambatana  na walinzi wake hapa Jijini Tokyo – Japan.
Mwana wa Mfalme wa Japan akihutubia Mawaziri, Magavana pamoja na wajumbe waliohudhuria  mkutano wa Benki ya Dunia – IMF Jijini Tokyo – Japan.
 Mwana wa Mfalme wa Japan akihutubia Mawaziri, Magavana pamoja na wajumbe waliohudhuria  mkutano wa Benki ya Dunia – IMF Jijini Tokyo – Japan.
Mawaziri wa Fedha, Magavana  na Wajumbe wa mkutano wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia  wakisikiliza hotuba aliyokuwa anaiwasilisha mwenyekiti H.E. Rial Salamah katika  mkutano wa Benki ya Dunia (WB) na wa shirika la fedha la kimataifa- (IMF) Jijini Tokyo – Japan.
Mawaziri wa Fedha, Magavana  na Wajumbe wa mkutano wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia  wakisikiliza hotuba aliyokuwa anaiwasilisha mwenyekiti H.E. Rial Salamah katika  mkutano wa Benki ya Dunia (WB) na wa shirika la fedha la kimataifa- (IMF) Jijini Tokyo – Japan.
Mkurugenzi Mtendaji wa IMF  Bi. Christine Lagarde alipokuwa akihutubia mkutano wa mwaka wa IMF na WB.
Mawaziri wa Fedha wa nchi  mbalimbali wakimsikiliza  Rais wa Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim alipokuwa akitoa hotuba yake Jijini Tokyo Japan.
Mkurungezi Mtendaji wa Shirika la Fedha la kimataifa (IMF) Bi. Christine Lagarde katikati akiwa na Rais wa Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim kulia na kushoto kwake ni Bw. H.E. Rial Salamah,  ambaye ni mwenyekiti wa Mkutano huo na Gavana wa Benk kuu ya Lebanon wakiwa kwenye picha ya pamoja na Magavana wote wa mkutano huo hapa Jijini Tokyo – Japan.
Rais wa Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim akimvisha ua  Mkurungezi Mtendaji wa Shirika la Kifedha Duniani -IMF Bi. Christine Lagarde alipokuwa akisubiri kupiga picha ya pamoja na mawaziri wa fedha Jijini Tokyo – Japan.
Mkutano wa kila mwaka wa Shirika la Fedha la Duniani (IMF) umeanza mjini Tokyo kwa kujadili mjadala kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo Christine Lagarde na Waziri wa Fedha wa Ujerumani Wolfgang Schäuble.
Mjadala wao ulijikita katika mgogoro wa kanda inayotumia sarafu ya euro na umuhimu wa kumaliza mgogoro huo.
Viongozi  hao wameonekana kutofautiana endapo mataifa yenye mzigo mkubwa wa madeni yapewe muda zaidi kutatua matatizo yao.