Mkazi wa Manispaa ya Iringa akiwa chini ya ulinzi mara baada ya kutuhumiwa kuwaibia mmoja wa wasafiri wanaotumia stendi ya Ipogolo iendayo nje ya Manispaa hiyo na mkoa huo ambapo baadhi ya vijana wanadaiwa kuhusuka na vitendo vya wizi katika stendi hiyo mkoani humo.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment