BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KIONGOZI WA JUMUIYA YA UAMSHO APATIKA JANA USIKU AKIWA MZIMA WA AFY

                         Amir farid baada ya kuoneka akiwa na familia yake
ni kutoka huko zanzibar kwamba yule kiongozi wa uamsho aliyekuwa amepotea amepatikana eneo lile lile alilopotelea na amehojiwa amesema kwamba yupo salama na amesema kwamba alitekwa na polisi na watu wa usalama na amesema kesho ataongea na vyombo vya habari.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: