BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

Mlipuko waripotiwa karibu na kiwanda cha silaha Khartoum.

 
Mtu mmoja alifariki dunia baada ya gari kulipuliwa huko Port Sudan. 
http://gdb.voanews.eu/33BB2414-7E31-4E27-8DF2-4C35FA1CCD7C_w443_r1.jpg
MOTO mkubwa uliripotiwa Jumatano asubuhi kufuatia mlipuko karibu na kiwanda cha silaha karibu na mji mkuu wa Sudan Khartoum.

Ripoti za waandishi ziliwakariri mashahidi wakisema walisikia milipuko usiku sana kabla ya moto kulipuka.

Taarifa za awali zilisema eneo la tukio lilikuwa kiwanda cha silaha cha  Yarmouk.

Sababu za mlipuko bado hazijulikani na hakuna taarifa za majeruhi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: