BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA NCHINI UINGEREZA


Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  na Mkewe Tunu wakisalimiana ana wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza kabla ya kuzungumza na watanzania waishio nchini uingereza jijini London Oktoba 16, 2012. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kitabu cha wageni baada ya kuwasili kwenye ubalozi wa Tanzani nchini Uingereza uliopo London kuzunumza na Watanzania waishio Uingereza Oktoba 16, 2012. Kushoto ni mkewe Tunu na kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na mkewe Tunu wakiwa  na Mtangazaji wa Shirika la Habari la Uingereza BBC, Zawadi Machibya (kulia) wakati alipozungumza na Watanzania waishio Uingereza, kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo London Oktoba 16, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: