Naibu Waziri wa kilimo chakula na ushirika, Adam Malima ndiye alikuwa msimazi wa uchaguzi huu akitangaza matokeo
|
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mstaafu mkoa wa Mbeya, Nawab Mullah, akimkaribisha mwenyekiti mpya Mh Zambi
|
Allan Mwaigaga ambaye amepata kura 318 na kuwa mshidi wa pili akiwashukuru wanachama wa ccm katika uchaguzi huo na kusema sasa makudi yavunjwe maadam mshindi kapatikana |
Reginald Msomba aliyepata kura 237. mshindi wa tatu nae pia akiwashukuru wanachama wa ccm katika uwanja wa sokoine jijini mbeya
|
Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro kulia katikati chales Mwakipesile kushoto kabisa mwenyekiti mstaafu mulla wakiwa makini kufuatilia matokeo uwanjani hapo mida ya saa sita kamili usiku |
wanachama wa ccm wakiwa makini kusikiliza matokeo uwanjani hapo |
Mwenyekiti mpya Zambi akipongezwa na mwenyekiti mstaafu Mullah mara baada ya kutangazwa mshindi |
Baadhi ya wanachama wa ccm wakimvisha mwenyekiti wao mpya mashada ya maua |
Naibu Waziri wa Kilimo chakula na ushirika, Adam Malima akimsisitizia jambo fulani mwenyekiti mpya wa ccm mkoa wa mbeya G. Zambi |
Mbunge wa Jimbo la Mbozi Mashariki Godfrey Zambi amabaye sasa ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa Mbeya akiwashukuru wanachama wa chama hicho kwa kumchagua |
0 comments:
Post a Comment