BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

GARI ALILOKUWA AKIENDESHA SHARO MILIONEA BAADA YA KUPATA AJALI NA KUPINDUKA.

Hivi ndivyo gari alilokuwa akiendesha Sharo Millionea, lilivyokuwa baada ya ajali hiyo iliyotokea jana usiku majira ya saa mbili.
HALI ya mzee King Majuto presha imepanda na hali kuzidi kuwa mbaya kutokana na kupata taarifa za msiba wa Sharo Milionea.

Mjomba wa marehemu Sharo Millionea, Bwana Omary Fundikira asema marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya kesho, Jumatano. Hii ni kutokana na msanii mwenzake John Maganga kuzikwa leo.

Pia rafiki wa marehemu bwana Mohamed Ismail ambaye ndiye aliyemuazimisha gari alilopata nalo ajali, asema ilitakiwa waongozane kwenda Tanga pamoja ila alishindwa maana alipata majukumu mengine.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: