BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

JK AAHIDI KUTOA BAJAJ KWA WALEMAVU KIJIJI CHA MANDAWA MKOANI LINDI.


DKT Jakaya Kikwete akizungumza na Mwendo Saidi katika kijiji cha Mandawa wilaya ya Lindi Vijijini jana wakati aliposimama kwa muda kuzungumza na wananchi wa kijiji hicho ili kujua changamoto za kimaendeleo zinazowakabili, Mwananchi huyu alimweleza Rais Kikwete kuwa yeye na wenzake wawili wanaomba wapatiwe Bajaj ili kuanzisha mradi utaowawezesha kujikumu kimaisha ambapo Rais alikubali. 
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: