
Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa maana tulianza nae na tutamaliza nae. Nichukue nafasi hii kumpa hongera Kamanda Lema kwa kushinda dhuruma, Pia nichukue nafasi kuwajulisha naianza safari ya kuelekea Karatu ambapo nitakuwa na mkutano wa hadhara na wananchi, peoples.

0 comments:
Post a Comment