Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Salim Ahmed Salim (kushoto) akibadilishana mawazo na Waziri Mkuumstaafu, Mhe. Edward Lowassa (katikati) nje ya ukumbiwa mikutano wa Tume hiyo, marabaada ya Mhe. Lowassa kuwaslisha maoni na uzoefu wake kuhusu uandishi wa Katiba Mpya. Kulia ni Mjumbe wa Tume, Bi. Maria Koashonda.
Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassaa kizungumza
na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano bainayao uliofanyika leo
katika ofisiza Tume jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa maoni na uzoefu wake
katika uandishi wa Katiba Mpya. Kuliani Mjumbewa Tume Bi. Maria Kashonda.
WaziriMkuumstaafu, Mhe. Edward Waziri Mkuu mstaafu,
Mhe. Edward Lowassaa kizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika
mkutano bainayao uliofanyika leo katika ofisiza Tume jijini Dar es Salaam,
ambapo alitoa maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya. Katikati ni Mwenyekiti
waTume hiyo, Jaji Joseph Warioba na Mjumbe wa Tume, Dkt. Salim Ahmed Salim.
Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassaa kizungumza
na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano bainayao uliofanyika leo
katika ofisiza Tume jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa maoni na uzoefu wake
katika uandishi wa Katiba Mpya. Wengine pichani ni Wajumbe waTume, Waziri Mkuu mstaafu,
Dkt. Salim Ahmed Salim, Bi. Maria Kashonda na Dkt. Sengondo Mvungi.
Katibu wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye piani Naibu Waziri wa Katiba na Sheria,
Mhe. Angelllah Kairuki akiwalisha maoni ya Chama hicho kuhusu Katiba Mpya kwa Tume
ya Mabadiliko ya Katiba wakati wa mkutano wao uliofanyikaleo katika ukumbi wa Karimjee
Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE),
Bw. Almas Maige akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano
bainayao uliofanyika leo ambapo ATE
iliwasilisha maoniyao kuhusu Katiba Mpya.
Mjumbewa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Omari Sheha Mussaa kizungumza na ujumbe kutoka
Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) katika mkutano bainayao uliofanyika leo katika
ofisi zaTume hiyo, Jijini Dar es Salaam, ambapo ATE iliwasilisha maoniyao kuhusu
Katiba Mpya.
0 comments:
Post a Comment