KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUUNGANA NASI.....
BREAKING NEWS!!!: SHEIKHE MKUU NA MUFTI WA TANZANIA AMTIMUA KAZI SHEIKHE WA MKOA WA MOROGORO.
SHEIKHE MKUU NA MUFTI WA TANZANIA, SHEIKHE ISSA BIN SHABAAN SIMBA AMETENGUA NAFASI YA SHEIKHE WA MKOA WA MOROGORO, SHEIKHE YAHAYA JUMA SEMWALI TANGU FEBR 19 NA SABABU KUU IKIELEZWA KUWA NI KUSHINDWA KUSIMAMIA IPASAVYO MAENDELEO YA WAISLAM WA MKOA WA MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment