BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DK SHEIN ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA PADRI MUSHI MUDA MFUPI KABLA YA IBADA YA MAZISHI.

Rais Shein akitia saini kitambu cha kumbukumbu wakati wa
 
 mazishi ya padri Mushi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akitoa salamu ya Mwisho kwa mwili wa Marehemu Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar, Padri Gabriel Mushi, aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja, (katikati) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao.
Dk Shein akisalimiana na Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao.
 Waandishi wa habri na waombolozaji wengine wakiwa katika ibada ya misa ya mazishi ya padri Mushi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: