MTANDA BLOG
  • Home
  • HABARI
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • MAWASILIANO
  • NAFASI ZA KAZI
    • KAZI ZA KUDUMU
    • KAZI ZA MUDA
    • MATANGAZO YA KAZI
  • NAFASI ZA CHUO
  • MAKALA
  • SIASA
  • MICHEZO
BannerFans.com

Recent posts

Sponsor

Labels

  • kimataifa
  • kitaifa
  • magazeti
  • michezo
  • siasa
  • slider
  • Home
  • MAWASILIANO
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MICHEZO
  • SIASA
  • VYUO TANZANIA
  • MAGAZETI

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

Home / Uncategories / DK SHEIN: HATI YA MUUNGANO IPO JIJINI DAR ES SALAAM

DK SHEIN: HATI YA MUUNGANO IPO JIJINI DAR ES SALAAM

mtanda blog 10:37 AM Edit

DR Shein akihutubia wana CCM katika Kusheherekea miaka 
 
36 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shain amewatoa mashaka WATU wanaohoji kutokuwepo kwa hati halisi ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kusema hati hiyo ipo na iwapo hawaamini wanaweza kwenda Umoja wa Mataifa New York.

Amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar chimbuko la kuasisiwa kwake kulitokana na ridhaa ya wananchi wa pande mbili za Muungano na kuwataka wanaowababisha wananchi kwa maneno ya mitaani kuacha kufanya hivyo kwa sababu kila swali lao lina jawabu lake.

Dk Shein ambaye pia ni Makamo Mwenyeki wa CCM Zanzibar amesema kuundwa kwa Muungano halikuwa ni jambo la kubahatisha bali lina malengo yaliokusudiwa kabla ya kupatikana Uhuru ya Tanganyika mwaka 1961 na kufanyika kwa Mapinduzi matukufu ya Zanzibar Januri 12,1964.

Amesema wenye wasiwasi na kutokuwepo kwa hati ya Muungano wamfuate ikulu awaonyeshe chumba walichokutana Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Karume na kufanya makubaliano ya mwisho kabla ya kuunganisha nchi zao.

Ameeleza kuwa madhumuni ya vyama vya TANU na ASP yalilingana tokea vyama hivyo vikiwa katika harakati zake za kujikomboa hivyo kurahisisha hata kazi ya kuziunganisha nchi hizo mwaka 1964 pia vyama hivyo na kuzaliwa kwa CCM mwaka 1977.

Aidha Makamo huyo Mwenyekiti wa CCM amewaeleza wananchi kuwa Mapinduzi ya Zanzibar ndiyo Uhuru kamili wa visiwa vya Unguja na Pemba huku akiwataka wananchi kutowasiliza watu wanaopotosha ukweli na kuwataka kuacha kufanya hivyo.

Dk Shein amesema watu wanaobeza ukweli huo hawana nguvu ya hoja bali wana lengo la kuwagawa wananchi ili waweze kuyafikia matarajio yao ambayo amesisitiza yanapaswa kupuuzwa na kila mpenda amani na umoja.

Amewataka watu hao kupuuzwa kwasababu hawajui wafanyalo na kwamba wanamangamanga ili kutaka kuwagawa wananchi bila ya kufikiri kwa makini .

Akizungumzia faida za Muungano Dk Shein amesema kiuhalisia wananchi wa Zanzibar ndiyo wanaofaidika na Muungano huo kwani kila uendepa katika Tamnzania Bara kuna wazanaziabri waliotamalaki na kuwekeza miradi na mitaji .

Alisema Zanzibar inafaidika na siko la Bara ambapo kabla ya Mapinduzi ilikuwa ikiagiza bidhaa za vyakula na mahitaji mengine kutoka nchi za Pakistan, Japan na mashariki ya mbali jambo ambalo sasa linapatikana kutoka Mikoa ya Bara.

Kwa upnde wake Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akizunguimza kabla ya kumkaribisha Dk Shein ,amesema nguvu ya umoja na maelewano kati ya visiwa vya Unguja na Pemba inatokana na kuwepo kwa Muungano na kusema nje ya jambo hilo lolote linaweza kutokea.

Vuai amesema Muungano wa Tanzania licha ya kuleta tija za kiuchumi lakini pia kwa kipindi chote cha miaka 49 ya kuwepo kwake umelinda na kusimamia usalama wa raia na mali zao.

Amesema hata pale Tanznia ilipovamiwa na majeshi ya Idd Amini mwaka 1978,wanajeshi wa Zanzibar waliingia vitani ili kuihami nchi yao vikiwemo visiwa vya Unguja na Pemba na kwamba nje ya Muungano umoja huo unaweza kuparaganyika .

Naibu huyo Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,amesema CCM itaendelea kujivunia matunda ya TANU na ASP kutokana na kupigania kwao maslahi ya watu waliokuwa wakikandamizwa na kubaguliwa katika ardhi ya nchi zao.

Amesema vyama hivyo kwa pamoja vilihakikiisha vinajenga misingi imara ya heshama na utu kwa kila binadamu na kuondosha matabaka,ubaguzi wa rangi na maonevu hadi pale vilipoamua kuunganisha nguvu zake na kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi mwaka 1977.
Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari

RELATED POSTS

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments ( Atom )
  • Popular Post
  • Video
  • Category

Popular Posts

  • ZIFAHAMU STYLES 6 ZA KIUFUNDI ZA KUFAIDI MAPENZI KATIKA TENDO LA NDOA, JIFUNZE HIZI UONE FAIDA ZAKE IKIWEMO KUMDHIBITI MWANAUME ASITOKE NJE YA NDOA LAKINI UTACHANA NA STYLES ILE YA KIFO CHA MENDE KUTOKANA UHONDO WAKE !!!.
      TUKUMBUSHANE:   JIFUNZE SEX STYLES ZA KUPEANA RAHA NA UTAMU ZAIDI NA MKE WAKO AMA MUMEO KUPORESHA PENZI.
  • HAYA NDIYO MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATU CHA PILI KWA MWAKA 2014 / 2015.
    Wanafunzi wakifanya mtihani wa taifa, picha maktaba ya Mtanda Blog.
  • MWILI WA MWANAMKE UNA MAENEO ZAIDI YA 16 YENYE MSISIMKO NA KUMFANYA KUFIKA KILELENI KABLA YA....WAKATI WA TENDO LA NDOA ?.
    JINSI YA KUMFURAHISHA MWANAMKE KITANDANI KATIKA MAPENZI. Hapa ni mambo 10 muhimu, ambayo mwanaume ukiyafanya kwa mwanamke wako, hakika ut...
  • JIFUNZE JINSI YA KUKATA KIUNO WAKATI WA TENDO LA NDOA UNAPOKUWA NA MUME WAKO KATIKA FARAGHA !!!.
      Simama wima (ukiwa uchi mbele ya kioo ndio it'll work better), weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (lituni...
  • MLANGO WA KWANZA HADI WA NNE KISOMO CHA MAULID KILOSA
    MLANGO WA NNE (KIAMU)HAPO NDIPO MWIHSO WA SHEREHE ZA MAULID YA KUAZIMISHA KUZALIWA KWA KONGOZI MTUME MUHAMAD S.A.W KATIKA UWANJA WA MSIKITI ...
  • VIDEO YA NGONO YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU KILICHOPO DODOMA YAVUJA
    WALIJIREKODI WENYEWE NA KUISAMBAZA. BAADHI ya wanafunzi  wa vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma  wameoza kwa matukio machafu ya ng
  • JE WAJUA TABIA ZA WANAWAKE WAFUPI WEWE ?.
    Utafiti uliofanywa juu ya tabia za wanawake wafupi ndio huu. Asilimia kubwa ya wanawake wafupi wanajua sana kupenda wanaume lakini changamo...
  • MAISHA YA MWANASOKA HODARI, PELE NA MAISHA NJE YA SOKA YANASIKITISHA !
    Na Geofrey Chambua. Kwa watu wengi, Pele ni mchezaji bora zaidi kuwahi kushuhudiwa katika uwanja wa kandanda, na siyo bure kwamba walimpa ji...
  • KUTOKA KWENYE MAGAZETI YA TANZANIA: MEI 29/ 2016 JUMAPILI YAKIWA NA VICHWA VIKUU VYA HABARI.
    ULIMISS HII
  • SALOON KABAMBE YA KISASA YA LEHANA EXERCUTIVE BARBERSHOP YAFUNGULIWA MJI WA IFAKARA.
    MJI WA IFAKARA kwa sasa ni mji unaondelea kukua siku hadi siku na moja ya huduma pengine zilikuwa zinapatikana mkoani hivi sasa zinapatika...

Video Of Day

Labels

  • kimataifa
  • kitaifa
  • magazeti
  • michezo
  • siasa
  • slider

JIPATIE LOGO YAKO

JIPATIE LOGO YAKO

Search This Blog

Find Us On Facebook

IDADI YA WALIOTEMBELEA.

KUJIUNGA NA VYUO VYA TANZANIA BOFYA KATIKA PICHA

KUJIUNGA NA VYUO VYA TANZANIA BOFYA KATIKA PICHA

JUMA MTANDA

JUMA MTANDA

BLOG MARAFIKI

  • ZanziNews
    Wanafunzi Waliohitimu Mafunzo ya Ujasiriamali Kuyatumia Vizuri Mafunzo Hayo Ili Yaweze Kuwaletea Tija. - Waziri wa Maendeleo ya jamii, jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar Mh. Anna Atanas Paul amekabidhi vyeti Wanafunzi 33 wa Ujasiriamali wa fani mbalimbali iki...
    12 hours ago
  • MICHUZI BLOG
    Wamachinga Dar wakemea uvunjifu wa amani - wadai suluhu ya changamoto haitatuliwi kwa uvunjifu wa amani. Na Mwandishi Wetu Umoja wa wa Wajasiriamali wa Mkoa wa Dar es Salaam umewataka Watanzania...
    14 hours ago
  • Rweyemamu info blog
    SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAAHIDI KULEA WAANDISHI WA MITANDAONI,MAFUNZO NA MAREKEBISHO YA SERA. - SERIKALI ya Awamu ya Sita imesisitiza kuwa itaendelea kulea na kuwawezesha waandishi wa habari za mitandaoni na mabloga badala ya kuwashughulikia k...
    5 days ago
  • LUKAZA
    TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew L...
    2 weeks ago
  • LEWIS MBONDE BLOG
    BLOGU YA LEWIS MBONDE BLOG YASITISHA KUTOA MAUDHUI MTANDAONI - Kutokana na matakwa ya kisheria ya maudhiu ya kutoa huduma za kimtandao bila kuwa na leseni iliyotolewa na mamlaka ya udhibiti wa huduma za mawasiliano t...
    7 years ago
  • MTANDA BLOG
    MAISHA YA MWANASOKA HODARI, PELE NA MAISHA NJE YA SOKA YANASIKITISHA ! - Na Geofrey Chambua. Kwa watu wengi, Pele ni mchezaji bora zaidi kuwahi kushuhudiwa katika uwanja wa kandanda, na siyo bure kwamba walimpa jina la utani ka...
    7 years ago
  • MATUKIO NA VIJANA
    - *MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu kwenye ukum...
    7 years ago
  • BongoClan™ Website No1 Ya Vijana
    DIAMOND AJIBU MAPIGO AFUTA MAPICHA YOTE YA ZARI, KISA HIKI HAPA -
    8 years ago
  • MASAI NYOTAMBOFU
    -
  • MjengwaBlog :: Habari, Picha, Matangazo na Matukio
    -
  • Shaffih Dauda in Sports.
    -
  • MBONDE MEDIA
    -
  • MC DR.CHENI
    -

FOLLOW US ON FACEBOOK

Dar es Salaam

  • Home
  • About
  • Contact
  • Error Page