Waziri
wa Habari, Vijana ,UtamaduninaMichezoDkt. Fenella Mukangara akifungua
mkutano wa maafisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa serikali mjini
Dodoma. Pamoja na mambo mengine amewataka kufanya kazi kwa kuzingatia
weledi na kutoa taarifa sahihi kwa umma mara kwa mara kuhusu shughuli
mbalimbali zinazofanywa na serikali.KIKAO CHA KAZI CHA MAAFISA HABARI WA SERIKALI CHAFANYIKA DODOMA
Waziri
wa Habari, Vijana ,UtamaduninaMichezoDkt. Fenella Mukangara akifungua
mkutano wa maafisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa serikali mjini
Dodoma. Pamoja na mambo mengine amewataka kufanya kazi kwa kuzingatia
weledi na kutoa taarifa sahihi kwa umma mara kwa mara kuhusu shughuli
mbalimbali zinazofanywa na serikali.

0 comments:
Post a Comment