Huyu ndo ndo Bwana Mkubwa Willie Knuckles aliyekuwa
waziri wa mambo ya rais(Minister of Presidential Affairs) huko Liberia ambaye
alilazimika kujiuzulu baada ya picha zake zilizokuwa zikimwonyesha akifanya
tendo la ngono na wanawake wawili kusambazwa kwenye mtandao.
Kwakweli bado haijaeleweka hasa walioamua
kumsambaza mtandaoni walikuwa na lengo gani naye zaidi ya kumdharirisha na
kumfedhehesha namna hii.
Haijaelezwa vizuri kuwa ndoa yake ambayo ilikuwa na takribani miaka 37
mpaka anakutwa na maswahibu haya iliishilia vipi,vyovyote ilivyokuwa Bwana
mkubwa Knucles atakuwa alivuna alichokuwa amekipanda.
Hapa Tanzania kina" Willie Knucles" wako wengi sana,wababa
wanaopenda kutumia nyadhifa zao na mapesa yao ambayo kwao huona ni vijisenti
kwa kuwarubuni mabinti tena wadogowadogo na kufanya nao ngono.
Binafsi huwa nashikwa na hasira sana ninapoona binti mdogo anatoka na
M'baba anayefaa kuwa Baba yake Mzazi ni mambo ambayo yapo sana katika jamii
yetu hata kijijini kwangu ninapoishi Kiluvya wazee wa type hii wapo sana ndo
maana kasi ya kusambaa kwa virusi hatari vya Ukimwi inazidi kukua kila
kukicha,in which way tunaweza kupona ikiwa mambo haya yataachiwa yaendelee
ku'apply katika jamii zetu?
Lakini na nyie ma'binti hivi na lazima kweli m'date na Wababa
wanaolingana na Wazazi wenu?(hili nalo ni swali ninaloliulizaga sana... majibu
ambayo nimekuwa nikiyapata yamekuwa hayaniridhishi hata kidogo,eti utamsikia
demu anasema eti Vijana wasumbufu sana....nyie mmelogwa?)
Blog hii inatoa tahadhari,yaliyompata Bwana Willie Knucles iwe ni
fundisho kwa wote wenye tabia hii,siku hizi technolojia imekua sana,unaweza
kudhalilishwa dunia nzima katika dakika chache tu,kuna simu za kichina siku
hizi zina Camera 4,4 (mbele nyuma na pande zote 2) Shauri zenu mnaweza kujikuta kwenye "The World of Anselm"
mkabaki kunisaka kwa udi na uvumba.
Tunaomba radhi kwa picha hizi lakini lengo ni kutoa kuweka ni kutoa elimu ya fudnisho kwa viongozi wetu na mtu wengine katika kujenga uaminifu ndani ya ndoa.
Chanzo http://audifacejackson.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment