| Odinga akijaindaa kupiga kura yake |
| Uhuru akiendelea na mchakato wa kumchagua mbunge wa Gatundu |
| Wananchi wa Kenya wakipanga foleni kupiga kura katika jiji la Nairobi, leo Machi 4, 2013. |
| Shoto-kulia-shoto- kulia...! Askari akisimamia foleni wakati wananchi wa Isiolo nchini Kenya wakiendelea kupiga kura kumchagua rais mpya wa Kenya leo leo Machi 4, 2013. |
| Hapa ni ahdi kieleweke...! Wananchi wa Kenya wakiwa katika foleni ndefu kuhakikisha kuwa wanapiga kura kumchagua rais wao leo Machi 4, 2013 |
| Waangalizi mbalimbali wa kimataifa wakifuatilia uchaguzi wa Kenya leo Machi 4, 2013. Hapa ni aktika kituo kimojawapo cha eneo la Isiolo. |
| Mwananchi wa Kenya akipiga kura yake kwa siri kumchagua rais mpya wa nchi yao leo Machi 4, 2013 |
| Na mimi jamani.... bibi naye akipiga kura leo kumchagua rais mpya wa Kenya atakayemrithi Mwai Kibaki. |
| Nipisheni... zamu yangu jamani! Wananchi wa Kenya wakiendelea kujipanga kabla ya kupiga kura kumchagua rais wao mpya leo Machi 4, 2013. |
| Kama mpira wa kona vile....! Mgombea wa urais wa Kenya, Raila Odinga akiwa amezungukwa na waandishi wa habari mara tu baada ya kupiga kura yake leo Machi 4, 2013. |
| Kwa utulivu na utii....wananchi wakipanga foleni kwa nia ya kupiga kura kumchagua rais mpya wa Kenya leo Machi 4, 2013. |

0 comments:
Post a Comment