TASWIRA YA PICHA ZA JENGO LA GHOLOFA LILILOPOROMOKA JIJINI DAR ES SALAAM ASUBUHI YA LEO. mtanda blog 12:01 PM Edit Mabaki ya jengo lililoporomoka jijini Dar es Salaam ambAlo lipo barabara ya Morogoro mtaa wa Indiana, maiti zaidi zinaokolewa bado idadi kamili haijafahamika mpaka sasa. Gari ndogo likiwa limedondokewa na kifusi cha jengo hilo. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment