![]() |
| VIJANA WAKICHIMBUA KABURI ALIMOZIKWA ALIYEKUWA HAI |
![]() |
| KWANZA KABISA WANAANZA TOA JENEZA LA ALIEKUFA KWA UGONJWA NA KUZANIWA AMEROGWA NA ALIYEZIKWA AKIWA HAI MAANA KATIKA KABURI HILO WALIZIWA WATU WAWILI KATIKA KABURI MOJA ALIE HAI NA MFU |
![]() |
| JENEZA LA ALIEKUFA KWA UGONJWA TAYARI LIMETOLEWA HILO PEMBENI SASA ANAFUKULIWAALIEZIKWA HAI |
![]() |
| MWILI WA ALIEZIKWA AKIWA HAI SASA UNATOLEWA KABURINI |
![]() |
| HII MITI NDIYO ILIYOTENGANISHA JENEZA NA ALIEZIKWA AKIWA HAI KWANZA ALIANZA ALIE HAI KUZIKWA IKAFUATIA MITI HIYO NDIYO LIKAFUATA JENEZA LA ALIEKUFA KWA UGONJWA |
![]() |
| MWILI WA ALIEZIKWA AKIWA HAI BAADA YA KUTOLEWA KABURINI |
![]() |
| MDOGO WA MAREHEMU ALIEZIKWA AKIWA HAI. |
![]() |
| MWILI WA ALIEKUFA KWA UGONJWA ULIZIKWA TENA NA WANAUSALAMA KUONDOKA NA MWILI ALIEZIKWA AKIWA HAI |
![]() |
| WANANCHI HAO HAIKUTOSHA BAADA YA KUMZIKA MWENZAO AKIWA HAI WALIKWENDA KUCHOMA NYUMBA YAKE |
![]() |















0 comments:
Post a Comment