"KWA KUWA WANAUME WENGI WANABAKA, KIFUNGULIWE KITUO WAFUNDISHWE KUTONGOZWA" MBUNGE WA VITI MAALUM CHADEMA, LETICIA NYERERE.
"SIKUFURAHISHWA NA KAULI YA LUSINDE KWAMBA TUNA MIMBA ZISIZOTARAJIWA" ANNA ABDALLAH(VITI MAALUM CCM)
"CHUO
KIKUU CHA DODOMA (UDOM) KUNA UDINI WA HALI YA JUU, WANAFUNZI WA DINI
TOFAUTI HAWALALI CHUMBA KIMOJA". MBUNGE WA ROMBO CHADEMA, JOSEPH
SELASINI.
SERIKALI INA TATIZO KWA KUWA KUNA AKILI NDOGO INATAWALA VICHWA VIKUBWA, MBUNGE WA IRINGA MJINI CHADEMA MCHUNGAJI PETER MSIGWA.
SIONGEI NA MBWA BALI NAONGEA NA MWENYE MBWA, MBUNGE WA KONDOA KUSINI MHE JUMA NKAMIA.
"SERIKALI IRUHUSU RAIA WA TANZANIA WALIME BANGI NA KUPATA FEDHA ZA KIGENI" MBUNGE WA NKASI CCM, MHE ALLY KESI.
TUSISHANGA KUSIKIA MANENO MENGINE KULE BUNGENI WAKATI WA VIKAO VINGINE LAKINI HATA HIVYO NI KWELI WAHESHIMIWA HAWA WAMESHINDWA KUONGEA KERO ZA WANANCHI WAO ILI SERIKALI ITAFUTE UFUMBUZI ?.
AU HAKUNA KERO KATIKA MAJIMBO HAO YANAYOHITAJI KUPATIWA UFUMBUZI ?.
WAKATI MUNGINE TUTAHITAJI KUSIKIA HOJA BINFSI NYINGINE ZIKIWASILISHA KATIKA MCHAKATO WA KUTATUA KERO MBALIMBALI ZILIZOKATIKA MAJIMBO YETU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
0 comments:
Post a Comment