HAPA AKITEMA MAPOVU HUKU AKISEMA ANA NJAA SANA.
WAZEE
WANAOSADIIWA KUWA NI WACHAWI WAKIWA CHINI YA ULINZI KITUO CHA
POLISI,KUTOKA KUSHOTO NI MWAJUMA MPONI (70) NA KULIA NI SHIJA NKWABI
(80)
Watu
wawili wamenusurika kuuwawa usiku wa kuamkia juzi katika kijiji cha
Mhongolo wilaya ya kahama mkoani shinyanga, baada ya kukutwa katika
mazingira yanayodaiwa kuwa ya kishirikina.
Watu
hao waliojitambulisha kwa majina ya Mwajuma Mponi (70) wa Nduku, na
Shija Nkwabi(80) wa Nyashimbi wilayani humo, wameanguka kijijini hapo
wakitokea kijiji cha nduku wiyani humo wakielekea Nyihogo Kahama kwa
shughuli za kishirikina.
Katika
maelezo yao wazee hao wamedai kuwa wameanguka baada ya kutokea ajali
ya kishirikina huko angani, ambapo waligongana na wenzao ambao
hawakuwafahamu walikotoka na walikokuwa wanaelekea.
Sambamba
na hayo imeelezwa kuwa wazee hao walikuwa uchi wakati wakianguka kabla
ya kusaidiwa nguo na mama mmoja wa maeneo ya Kafe Latino barabara ya
Mhongolo.
Jeshi la
Polisi la Wilayani humo likiri kutokeakwa jambo jambo hilo na kwamba
uchunguzi bado unaendelea na taarifa zitatolewa baadaye.
WAZEE WAKIWA HOI KITUOP CHA POLISI BABADA YA KUFIKISHWA KITUONI HAPO
WAZEE WAKIWA HOI,HUKU WA KUSHOTO AKIWA ANATEMA MATE OVYO KITUONI HAPO.
BIBI AKIWA AKIWA HOI BAADA YA KUDONDOKA USIKU WA LEO
HAPA BIBI AKISAIDIWA KUINUKA BABADA YA KUVALISHWA NGUO NA WASALIMIA WEMA.
ASKARI POLISI WAKIWASAIDIA KUWAPANDISHA KWENYE GARI.
HAPA WAKIPELEKWA KITUO CHA POLISI
MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MAJIRA PATRICK MABULA AKICHUKUA MAELEZO TOKA KWA MASHUHUDA WALIOSHUHUDIA TUKIO HILO.
HAPA NDIPO ENEO AMBALO WACHAWI HAO WALIPODONDOKEA.
0 comments:
Post a Comment