
Mchezaji matata wa Barcelona Lionel Messi na Franck Ribery wakichuana kugombea mpira usiku huu.

Kipindi
cha pili kilipoanza Bayern kwa kufuata kanuni walizopewa na kocha wao
za kupiga mpira wa chini wakafanikiwa kupata bao la pili kupitia
mchezaji wao Mario Gomez dakika ya 49 na kufanya 2-0 dhidi ya Barcelona
na pia Bayern kukosa mabao kadhaa ya wazi.
Mchezaji wa Bayern Munich Arjen Robben akimwachia shuti kali kipa wa Barca, Victor Valdes.
Kocha wa Bayern Munich Jupp
Heynckes akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wakisakata kandanda uwanjani uwanjani na kuisambaratisha Barcerona kwa bao 4-0.

Mchezaji tegemeo wa Bayern MunichThomas Muller akiipatia bao timu yake dakika ya 25.
Mchezaji
Thomas Muller wa Bayern akishangilia baada ya kuipatia bao na kuongoza
kwa bao 1-0 dhidi ya Barcelona kwa kipindi cha kwanza. 
Mchezaji wa Bayern Munich David Alaba akikabwa na Pedro Rodriguez wa Barcelona.

Mario Gomez (kulia) akiwafungia Bayern Munich bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Barcelona.

Dakika ya 49 anaitwa Mario Gomez akishangilia baada ya kuichinja Barca, Bao ta tatu lilifungwa na Robben dakika ya 73 na la nne lilifungwa na Thomas Muller dakika ya 82.
Bayern Munich: Neuer, Lahm, Boateng, Dante, Alaba, Javi Martinez, Schweinsteiger, Robben, Muller (Pizarro 83), Ribery (Shaqiri 89), Gomez (Luiz Gustavo 71).
Subs: Starke, Van Buyten, Rafinha, Tymoschuk.
Goal: Muller 25, 82, Gomez 49, Robben 73.
Barcelona: Valdes, Dani Alves, Pique, Bartra, Jordi Alba, Xavi, Busquets, Iniesta, Sanchez, Messi, Pedro (Villa 83).
Subs: Pinto, Fabregas, Villa, Thiago, Montoya, Abidal, Song.
Referee: Viktor Kassai (Hungary)
NUSU FAINALI
Jumanne Aprili 23
Bayern Munich 4 v Barcelona 0
Jumatano Aprili 24.
Borussia Dortmund v Real Madrid
MARUDIANO.
Jumanne Aprili 30
Real Madrid v Borussia Dortmund
Jumatano Mei 1
Barcelona v Bayern Munich


0 comments:
Post a Comment