Mh Jaji kiongozi mahakama kuu Fakih Jundu akitoa salamu.
Mpiganaji
wa Mjengwa Blog na Kwanza Jamii, Lukelo Mkami Mwipopo ambaye ni mtoto
wa mdogo wa Marehemu, Marehemu Ben Mkami Mwipopo akisalimiana na watoto
wa marehemu mara baada ya mwili wa marehemu kuwasili kijijini Ibatu
wilayani Mufindi tayari kwa mazishi
Mjane wa marehemu Jaji mstaafu akifarijiwa ndugu zake walipo wasili na mwili wa Marehemu Kijijini Ibatu
Mmoja wa majaji walioshiriki mazishi akiaga kwa mwili wa marehemu
.Askari
wakitoa heshima mbele ya kwa kupiga risasi ewani baada ya kukamilisha
kuweka mwili wa marehemu kwenye nyumba yake ya milele
Waheshimiwa majaji wakitoa jeneza la Marehemu tayari kwenda kusaliwa katika eneo liliondaliwa kwa ibada
Sehemu ya watu walioshiriki ibada ya kumuombea marehemu
Katibu mkuu kiongozi mstaafu Philemon Luhanjo(kushoto) akifuatilia misa ya kumuombea marehemu
0 comments:
Post a Comment