WATU kadhaa wamekamatwa katika visiwa vya Comoro kwa kuandaa mpango wa
kutaka kuipindua serikali ya Rais Ikililou Dhoinine (Dhanin). Juhudi za kuwapa maafisa wa serikali ya Comoro kuzungumzia kuhusu njama hiyo hazikufanikiwa, hata hivyo kiongozi wa upinzani nchini humo Houmed Msaidie ameilaumu serikali kwa kushindwa hadi sasa kutoa maelezo juu ya tukio hilo, ikiwa siku tatu baada ya watu hao kukamatwa.
Daniel Gakuba amezungumza na bwana huyo, kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.

0 comments:
Post a Comment